Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Na tukimpasua leo hakutakalika humuHahahahaha kama mnataka kupita lazima mmfunge Wydad kitu ambacho ni kigumu Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na tukimpasua leo hakutakalika humuHahahahaha kama mnataka kupita lazima mmfunge Wydad kitu ambacho ni kigumu Sana
Kama ulikuwa unafikiri hivyo, ondoa hayo mawazo aisee!! Leo hatulali mpaka kieleweke. Yaani tutakesha wote kwa tii vii.Afadhali mechi saa 4 mashabiki wa Yanga watakuwa wamelala...
Huwa mnakera na hivi vimaswali vyenu...🥹🥹Dstv wanaonesha?
Seriously mkuuHuwa mnakera na hivi vimaswali vyenu...🥹🥹
Haya ITV channel namba 067 wataonyesha angalia.
Labda draw ya mbao, kipigo hakiepukiki.Sijakosea , i mean Jwaneng vs Asec ikiwa draw
Wydad vs Simba baadaye nayo ikawa draw .
Je uwezekano wa simba kufuzu upoje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawaonyeshi mkuu Azam ndo wanaonyeshaDstv wanaonesha?
Baada ya mechi za leo, Simba naye anakuwa wa mwisho kwenye hili kundi.Wa mkiani ni mnywa supu za mkia Uto wahed [emoji16] [emoji16]
Sema tu washamaliza mwendo. Wydad anachagua style ya kujipigia tu leo, Asec naye aje akandamize ipasavyo.Asec kaongeza Huko 2-0 .
Mpaka hapo Simba ana kibarua Sana
Watajutia Sana kuzikosa Alama tatu Kwa galaxy
Simba lazima achomoze na ushindi mnono wa bao 3 na point 3 muhimu. Kila la heri mnyama unapokwenda mawindoni hapo Casablanca.
Simba hatuna timu,yanga wapo vizur wanapambana haswaMimi ni Simba SC lakini hii game ya leo sio rahisi hata kidogo. Tukijitahidi sana tutaambulia point 1.
Kwa wachezaji wenyewe kina baleke na saidoo,uthenge mtupu!!Hawa Waydad wepesi sana simba wasipojigia itakuwa ajabu sana, group jepesi hili
Kwenye football huwa hakuna kisichowezekana.Hahahahaha kama mnataka kupita lazima mmfunge Wydad kitu ambacho ni kigumu Sana