FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

Ndio ni ileile ambayo sisi simba tuliondolewa na Orlando pirates japo tuliroga katikati ya uwanja
Vyovyote vile caf confederation cup inabaki kuwa umitashumta mzee baba.... ni tournament flani hv ya hopeless clubs km yanga
 
Vyovyote vile caf confederation cup inabaki kuwa umitashumta mzee baba.... ni tournament flani hv ya hopeless clubs km yanga
Sasa kwanini mshindi wa shirikisho kampiga mshindi wa ligi ya mabingwa na ndio anaenda kuliwakilisha bara la afrika?
 
Marehemu alikuwa na mdomo sana Ali ongea sana jana wakati yuko ICU .ngoja tuone leo hali yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…