joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Mbona unajishtukia,jana mlijazana kwenye mechi ya Yanga.Wakati sio timu yenu. So tulia hapa na sisi leo fuifanyie uchambuzi mechi yenu kama mlivyofanya nyinyi jana.Utopolo Wa hapa Jukwaani jinsi Wanavyochangia Wananikumbusha Miaka Ile Walivyokuwa Wanaenda Airport na Maandamano Kuwapokea Timu pinzani za Simba Kimataifa...!
Ukweli Utopolo wanayo Mengi ya Kujifunza, Wakiwa Watulivu taratibu Wataelewa nini Maana ya CAF Champions League na CAF CC...Yaani ni Vitu Viwili tofauti Kbs...!