FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

Utopolo Wa hapa Jukwaani jinsi Wanavyochangia Wananikumbusha Miaka Ile Walivyokuwa Wanaenda Airport na Maandamano Kuwapokea Timu pinzani za Simba Kimataifa...!

Ukweli Utopolo wanayo Mengi ya Kujifunza, Wakiwa Watulivu taratibu Wataelewa nini Maana ya CAF Champions League na CAF CC...Yaani ni Vitu Viwili tofauti Kbs...!
Mbona unajishtukia,jana mlijazana kwenye mechi ya Yanga.Wakati sio timu yenu. So tulia hapa na sisi leo fuifanyie uchambuzi mechi yenu kama mlivyofanya nyinyi jana.
 
Kila kocha huwa ana jicho lake, ni kama Robertinho kwa Kibu Denis kisha kaja kuwa tegemeo.

Acha Onana aaminiwe huenda akawa yule tuliyemtarajia chini ya kocha huyu.
Yes, ni kweli kuna baadhi ya wachezaji unakuta wana kitu lakini kocha anashindwa kumwona au kutumia hiyo kitu, nadhani akianza hivi pia confidence itaongezeka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom