FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

Mbona unajishtukia,jana mlijazana kwenye mechi ya Yanga.Wakati sio timu yenu. So tulia hapa na sisi leo fuifanyie uchambuzi mechi yenu kama mlivyofanya nyinyi jana.
 
Kila kocha huwa ana jicho lake, ni kama Robertinho kwa Kibu Denis kisha kaja kuwa tegemeo.

Acha Onana aaminiwe huenda akawa yule tuliyemtarajia chini ya kocha huyu.
Yes, ni kweli kuna baadhi ya wachezaji unakuta wana kitu lakini kocha anashindwa kumwona au kutumia hiyo kitu, nadhani akianza hivi pia confidence itaongezeka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitakuwa LIVE hapa kutoa updates wakuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…