FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

Muda wowote kuanzia sasa mpira utaanza.
 
Duuh Hawa mashabik WA waydad unaweza kurusha taulo mapema tu Kwa vitisho
 
Mpira umeshaanza apa, simba wanapoteza mpira kipa anadaka.
 
Saido anatoa mpira njez wydad wanarusha mpira.
 
Watanzania Wote bila Kujali Wewe ni Yanga,Azam au Ihefu njooni Kujifunza Kitu hapa.... Ni jinsi gani Mnyama huwa anazichanga karata hadi Mwishowe anafuzu Robo....!

Mpaka mkampa jina MwakaROBO...

Sio Jambo La Aibu Kujifunza...
 
Baleke anakosa hapa, asingekuwa mchoyo huenda Simba angeshinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…