Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AwapSimba leo lazima apigwe
Huo ulazima unautoa wapi?Simba leo lazima apigwe
Asante mtaniKila lakheri watani, japo mna makelele sana ila ndiyo utaifa na uzalendo kwanza, wafungeni hao
team inacheza mpira kwa mdomoHuo ulazima unautoa wapi?
Hee mshaanza kuisema Yanga tena, yaani watani Simba tangia mle zile 5 bado hamjakaa sawa😀😀Leo mnyama anaunguruma kama kawaida. Kama Wydad walikubali kichapo kutoka kwa Galaxy, Simba hatushindwi. Tunamnyoosha mwarabu huko huko kwao ili liwe fundisho kwa Yanga.
Atapiga....!Kuna goli hapa linanukia, Simba soon atapigwa.
Baadae tumekufa kiumeAtapiga....!
Simba haipo Kinyonge Leo...
Msije Anza kasema Wydad Wabovu...