Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Mimi nasema Simba inacheza Robo fainali....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Be Optimistic.......Simba tutacheza Robo fainal. It's not over until it is over.....Yanga wametuletea gundu..kwenye club Bingwa...
😆 😆
Mtani utani tu my dear...Chup ndo nini malizia neno fwala wewe
Utaiona subiri usiwe na harakaSijaiona Wydad ya kumfunga Simba hapa nyumbani
Hamna Cha improvement, wachezaji walewale ,wanajuana vizuri kabisa .
Wachezaji wa Simba wenyeji wameshuka viwango, wapya hawana viwango .
Hahaah kama utani basi sawa.. 😆 😆 😆 ila hii ya chup sijapentaaa...sasa mtu una stress na chup wapi na wapi...Mtani utani tu my dear...
🤣🤣🤣
Wewe? Ni kama shemeji yako ujue?Ndugu yako ni shabiki wa Simba na Man U, Leo sijui kama atapata usingizi maskiini..!!
Ila dunia haiko fair, ngoja nikachekee chooni asinione..!!🤭
Hahaha,Wewe? Ni kama shemeji yako ujue?
Mimi si nikajichanganya nikacheka mbele yake? Alinipa onyo sitakaa nirudie tena.
Nitakuwa nachekea chooni kama wewe, nimejifunza.
Ila niliomba msamaha.
Mimi kuanzia J2 nitakuwa bubu wa mpira, mpaka ifike J5 tukicheza sisi labda.Hahaha,
Usijaribu dear, Mimi nikiona tu wamefungwa sizungumzii mpira siku hiyo kabisa, mpaka labda kesho yake sasa ndiyo mtaongea muelewane..!
Yes,Mimi kuanzia J2 nitakuwa bubu wa mpira, mpaka ifike J5 tukicheza sisi labda.
Itabidi tu nishangilie na wewe tu hapa, Lol
Tena na hapa inabidi nichague maneno ya kusema, nyieeee 😭😭