FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

Ndugu yako ni shabiki wa Simba na Man U, Leo sijui kama atapata usingizi maskiini..!!
Ila dunia haiko fair, ngoja nikachekee chooni asinione..!!🤭
Wewe? Ni kama shemeji yako ujue?

Mimi si nikajichanganya nikacheka mbele yake? Alinipa onyo sitakaa nirudie tena.
Nitakuwa nachekea chooni kama wewe, nimejifunza.
Ila niliomba msamaha.
 
Hahaha,
Usijaribu dear, Mimi nikiona tu wamefungwa sizungumzii mpira siku hiyo kabisa, mpaka labda kesho yake sasa ndiyo mtaongea muelewane..!
 
Mimi kuanzia J2 nitakuwa bubu wa mpira, mpaka ifike J5 tukicheza sisi labda.

Itabidi tu nishangilie na wewe tu hapa, Lol
Tena na hapa inabidi nichague maneno ya kusema, nyieeee 😭😭
 
Yes,
Ni mwendo wa kimya kimya my dear ile ya kula kufuta mdomo..!!
 
Back
Top Bottom