Aziz Ki Mayele
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 899
- 1,955
Na mwaka kesho, na mwaka kesho kutwa bahati haitakua yenu.. 🤣🤣🤣Hata mwaka jana bahati haikua yetu, na mwaka huu pia, ila Kocha ni mzuri anapaswa kupewa sajiri za uhakika. Tutafika mbalii
Pumbavu,umekosa uzalendoKila la kheli Wydad timu yangu ya utotoni.
FT: Wydad 9-0 simba
[emoji2][emoji2][emoji2]Hapa ni kuomba tu Yanga waishie nusu fainali
Hawa Wydad wanacheza mchezo wa hovyo sana, wako slow na wanapiga back pass nyingi ambazo hazina maana. Hawa wanaweza watoke hatua inayofuata.Bora aisee kelele zitakata kwa muda hata hivyo wydad hatafika mbali akikutana na team aggressive atakula nyingi
Ni kuwa simba walijitahidi sanaHawa Wydad wanacheza mchezo wa hovyo sana, wako slow na wanapiga back pass nyingi ambazo hazina maana. Hawa wanaweza watoke hatua inayofuata.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Acha basi😂Hakunaga kuliwa kwa mbinde, ukiliwa umeliwa tuu [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji24]
Refa alikuwa fair kabisa, shida tumezoea kubebwa huku nyumbani.Ukizingatia refa kawabeba gemu nzima, vijana wamepambana. Magoli tuliyokosa gemu ya kwanza ndiyo yamezuia Simba asivuke.
Mmm bw a wewe 🤣🤣🤣🤣Mashabik wa simba wanavyo sema wamekufa kiume nakumbuka kuna jamaa mmoja alifumwa na mke wa mtu wahuni wakapasua spika asa wana wakawa wakimuuliza oya hawajakufanya chochote mwana anajibu wamenifir* ila kwa tabu sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
صباح الخير cocasticMan city mara 3 mfululizo kacheza Robo, Semi, na final na hajachukua kombe la UEFA,
Labda mwakaa huu at least matumaini yapoo.
Hicho tu utawaombea dua wakishinda masimango hz mbwa zkome tuMashabikinwa yanga Leo tumekaa kichawi Sana humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nilikua napiga dua hapa jamaa wasiende. Kesho tungeamka tunasimangwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wametengeneza nafas ngapi za mabaoHakuna kitu hawa ni Waarabu Koko tu, tangu nianze kuangalia mpira 1998 sijawahiona Waarabu walaini laini hivi wanaopiga mpira taratiiibu kama Ruvu Shooting.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Wew ungemuweza nan?Hawawezi kuchukua kombe, yani huyy Wydad hana uwezo wa kumfunga yoyote kati ya watakaobaki nusu fainali na kuendelea.
Heshima kwa aliyeshinda ukienda vitan rudi mshind tukupe heshima ukifia huko imeisha hyoKwani nyinyi hamkupata nafasi ya kushiriki haya mashindano (CAFCL), kama mliipata ilikuwaje?
Ukijibu hili swali, utaelewa ni heshima gani aliimanisha huyo uliyemquote.