Mi ni shabiki wa Simba ila niseme tu ukweli laiti kama Yanga wangejikaza wakaingia Hili kombe la Champions League wangeweza hat Kufika Semi final au hat Fainal kabs Na hii ni kwasabb timu nyng bora za Africa sasaiv zimeshuka sana kiwango zimebaki znabebwa na Rekodi za makaratasi tu ila uwanjani ni wa kawaida sana,
Kam ukiangalia hii Wydad alf mtu akakwambia et Ndo bingwa wa mwaka jana inawez ikakufikirisha sana,
Naludia tena kusema Yanga wana Mpira mzuri kulinganisha na huu mpira tunaoucheza Simba, simba tuna Mpira wa mwaka 1978 huko yani mpira wa Butua butua na Mpira wa sifa za kijinga vivid example Chama,
Mashabiki wa Simba humu tunatiana moyo kwamb eti tumetoka kiume ila ukweli tu tuseme hii Simba wana mpira mbovu mno Wachezaji wake ukiwaangalia Ni kama Wastaafu kumbe ndo First eleven hiyo,
Yani mtu akifungia Tv akaangalia Mpira wa Simba anawez hisi labda simba wanacheza Mechi ya kuchangia Damu kumbe ni mechi ya Robo fainali kabsa, mi nlkuw naangalia mpk nmekerwa kila muda mijitu inabutua tu hakuna Game planning kabs,
Yani mtu akiona tu Mbele kuna jezi nyekundu bas anabutua limpira huko huko huyo wa mbele apambane,.... Kiukweli hii Simba ifanye investment kama Yanga la sivyo Yanga itawashangaza watu siku za usoni,
Mimi ni Shabiki wa Simba ila Naiona Yanga Inafika Fainali ya kombe la Shirikisho Mtaikumbuka hii Post, Yanga wanacheza kwa game planning hat Mtu asiyejua mpira anaona kabsa hawa watu kuna kitu Wanatengeneza hapa ila sio Hii simba yani ujinga mtupu PUMBAVU ZAO.