FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Shirikisho mwaka huu kuna team za hovyo wengi wageni wa mashindano Huyu Wydad Ana miaka mitano mfululizo anaingia nusu fainali sio team ndogo hii tena wakiwa kwao hakika tumepambana

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Tukusadieje mbona malalamiko mengi kama mtoto wa kambo
 
Kocha nae boya tu anashindwa kufanya mabadiliko mapema hata kabla 77’. Eti kumheshimu mpinzani! Mpinzani gani yule anacheza slow game namna ile [emoji31]
Asante sana kurudia wazo langu hili [emoji116]

"Hakuna kitu hawa ni Waarabu Koko tu, tangu nianze kuangalia mpira 1998 sijawahiona Waarabu walaini laini hivi wanaopiga mpira taratiiibu kama Ruvu Shooting."

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Haooo wale wanga walozi na wachawi mliotabiri Simba itafungwa 10 sijui 7 sijui 5 mko wapii...any way tumetoka kibabee..hakuna cha mohamed watano wala nini...I love u Simba..till next tym
By the way Siwadai..
Ngoja nilale
Aya rudini nyumban muendelee kucheza na kina lipuli, waacheni wanaume tuwakilishe nchi mwendo mmeumaliza
 
Acha kujifariji na kipigo mlichopata na kutolewa nje ya mashindano.
Wewe bado upo kwenye hayo mashindano ambayo Simba Sc katolewa?


Unajua kinachonishangaza ni vile mashabiki mnashindwa kuwa real pale ambapo mnatumia nguvu kubwa kutuaminisha hakuna utofauti wowote kati ya CAFCC na CAFCL, hivi hizi guts mnazitoa wapi?[emoji23]


Mashindano ambayo wewe yalikushinda hatua za asubuhi kabisa, unakuja kumbeza na kumuona hajafanya lolote la maana yule ambaye kafika robo fainali na katoka kwa penalty dhidi ya mtetezi?Yani mimi ndiomaana sihanagika na trolling zenu hapa.




Ama kweli nimeamini,kichwa cha kuku hakifungi kilemba.
 
Mi ni shabiki wa Simba ila niseme tu ukweli laiti kama Yanga wangejikaza wakaingia Hili kombe la Champions League wangeweza hat Kufika Semi final au hat Fainal kabs Na hii ni kwasabb timu nyng bora za Africa sasaiv zimeshuka sana kiwango zimebaki znabebwa na Rekodi za makaratasi tu ila uwanjani ni wa kawaida sana,

Kam ukiangalia hii Wydad alf mtu akakwambia et Ndo bingwa wa mwaka jana inawez ikakufikirisha sana,

Naludia tena kusema Yanga wana Mpira mzuri kulinganisha na huu mpira tunaoucheza Simba, simba tuna Mpira wa mwaka 1978 huko yani mpira wa Butua butua na Mpira wa sifa za kijinga vivid example Chama,

Mashabiki wa Simba humu tunatiana moyo kwamb eti tumetoka kiume ila ukweli tu tuseme hii Simba wana mpira mbovu mno Wachezaji wake ukiwaangalia Ni kama Wastaafu kumbe ndo First eleven hiyo,

Yani mtu akifungia Tv akaangalia Mpira wa Simba anawez hisi labda simba wanacheza Mechi ya kuchangia Damu kumbe ni mechi ya Robo fainali kabsa, mi nlkuw naangalia mpk nmekerwa kila muda mijitu inabutua tu hakuna Game planning kabs,

Yani mtu akiona tu Mbele kuna jezi nyekundu bas anabutua limpira huko huko huyo wa mbele apambane,.... Kiukweli hii Simba ifanye investment kama Yanga la sivyo Yanga itawashangaza watu siku za usoni,

Mimi ni Shabiki wa Simba ila Naiona Yanga Inafika Fainali ya kombe la Shirikisho Mtaikumbuka hii Post, Yanga wanacheza kwa game planning hat Mtu asiyejua mpira anaona kabsa hawa watu kuna kitu Wanatengeneza hapa ila sio Hii simba yani ujinga mtupu PUMBAVU ZAO.
 
Haooo wale wanga walozi na wachawi mliotabiri Simba itafungwa 10 sijui 7 sijui 5 mko wapii...any way tumetoka kibabee..hakuna cha mohamed watano wala nini...I love u Simba..till next tym
By the way Siwadai..
Ngoja nilale
Nimekupa maua yako uyanuse ukiwa unapumua.Wakati mwingine tutakuja strong zaidi ya leo.
 
Kocha ana kitu, hapo ni kufanya usajili mzur tu. Simba ss hv imeshajiwekea kiwango cha kufika robo fainal club bingwa na naamini ndani ya miaka 2 au 3 tunaweza kufika nusu fainali au fainali.
Wakifanya usajili mzuri, sio ule wa kutumia clip za Youtube.
 
Mashabiki wa Simba humu tunatiana moyo kwamb eti tumetoka kiume ila ukweli tu tuseme hii Simba wana mpira mbovu mno Wachezaji wake ukiwaangalia Ni kama Wastaafu kumbe ndo First eleven hiyo.
 
Yaani hatujifunzi , mara mbili mfululizo tunatolewa Kwa penati
Timu ya Uholanzi unataka kuniambia huwa haijifunzi? Inacheza world cup karibu kila ikifika ila kombe haichukui na imecheza 3 finals

Juventus katika ubora wao wamecheza fainali kadhaa za UEFA lakini bado hawajachukua UEFA unadhani Juve hawajifunzi?

At the end bahati sometimes ipo katika mafanikio

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Asante sana kurudia wazo langu hili [emoji116]

"Hakuna kitu hawa ni Waarabu Koko tu, tangu nianze kuangalia mpira 1998 sijawahiona Waarabu walaini laini hivi wanaopiga mpira taratiiibu kama Ruvu Shooting."

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Acha taarabu. Ubao unasoma je.. Huko kwenu vipi? Upo?. Jikaze mtani mana umechomekwa kijambi jambi na ugwadu. Rudi Sasa na hili la NBC uendelee kuliskia kweny bomba
 
Back
Top Bottom