Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
AaahaaaaComments ziwe fupifupi, wale walio na furaha tujuane. Hata tukiitwa wachawi kwani bei gani? 🤣🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AaahaaaaComments ziwe fupifupi, wale walio na furaha tujuane. Hata tukiitwa wachawi kwani bei gani? 🤣🤣🤣🤣🤣
Tukusadieje mbona malalamiko mengi kama mtoto wa kamboShirikisho mwaka huu kuna team za hovyo wengi wageni wa mashindano Huyu Wydad Ana miaka mitano mfululizo anaingia nusu fainali sio team ndogo hii tena wakiwa kwao hakika tumepambana
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Tutaona huko mbeleAcha waende tu, ila kwa uchezaji ule hawatafika mbali
Nyi mnamsikiliza mtangazaji. Hajui kama na yule nae KolozWale mashabiki wa Wydad wanajifanyaga hawapoi leo walikuwa kama wameukalia.Bahati tu imewabeba.
Asante sana kurudia wazo langu hili [emoji116]Kocha nae boya tu anashindwa kufanya mabadiliko mapema hata kabla 77’. Eti kumheshimu mpinzani! Mpinzani gani yule anacheza slow game namna ile [emoji31]
Wao wamewafunga goli moja tu.. Tena Kwa Mkapa. Sasa si wqngewatabiria Azam wanaowakonyeaga dakika ya 2 tu mijitu ishafika kilelenTutaona huko mbele
Nimekupa maua yako.Hata mwaka jana bahati haikua yetu, na mwaka huu pia, ila Kocha ni mzuri anapaswa kupewa sajiri za uhakika. Tutafika mbalii.
Sawa chukueni basi hata ligi dhaifu ya NBC kudhibitisha hio kauliPenye ukweli kuwa wazi, hii level Yanga alitolewa na Al hilal hata makundi hakuingia
Kuhusu huko shirikisho, km simba angekuwa huko kwa team za mwaka huu, angefika final na kuchukua kombe.
Aya rudini nyumban muendelee kucheza na kina lipuli, waacheni wanaume tuwakilishe nchi mwendo mmeumalizaHaooo wale wanga walozi na wachawi mliotabiri Simba itafungwa 10 sijui 7 sijui 5 mko wapii...any way tumetoka kibabee..hakuna cha mohamed watano wala nini...I love u Simba..till next tym
By the way Siwadai..
Ngoja nilale
Wewe bado upo kwenye hayo mashindano ambayo Simba Sc katolewa?Acha kujifariji na kipigo mlichopata na kutolewa nje ya mashindano.
Nimekupa maua yako uyanuse ukiwa unapumua.Wakati mwingine tutakuja strong zaidi ya leo.Haooo wale wanga walozi na wachawi mliotabiri Simba itafungwa 10 sijui 7 sijui 5 mko wapii...any way tumetoka kibabee..hakuna cha mohamed watano wala nini...I love u Simba..till next tym
By the way Siwadai..
Ngoja nilale
Wakifanya usajili mzuri, sio ule wa kutumia clip za Youtube.Kocha ana kitu, hapo ni kufanya usajili mzur tu. Simba ss hv imeshajiwekea kiwango cha kufika robo fainal club bingwa na naamini ndani ya miaka 2 au 3 tunaweza kufika nusu fainali au fainali.
Muwakilishe mpira au ngoma hyo? Huo nao mpira vi timu vya kishamba shamba...hivi na nyie mtajiita mmecheza na timu kweli? AuAya rudini nyumban muendelee kucheza na kina lipuli, waacheni wanaume tuwakilishe nchi mwendo mmeumaliza
Timu ya Uholanzi unataka kuniambia huwa haijifunzi? Inacheza world cup karibu kila ikifika ila kombe haichukui na imecheza 3 finalsYaani hatujifunzi , mara mbili mfululizo tunatolewa Kwa penati
Acha taarabu. Ubao unasoma je.. Huko kwenu vipi? Upo?. Jikaze mtani mana umechomekwa kijambi jambi na ugwadu. Rudi Sasa na hili la NBC uendelee kuliskia kweny bombaAsante sana kurudia wazo langu hili [emoji116]
"Hakuna kitu hawa ni Waarabu Koko tu, tangu nianze kuangalia mpira 1998 sijawahiona Waarabu walaini laini hivi wanaopiga mpira taratiiibu kama Ruvu Shooting."
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Unajua unacho kizungumza lakini? Kila league ina utaratibu wake. Nweiii wee furahii tyuuh.Sawa chukueni basi hata ligi dhaifu ya NBC kudhibitisha hio kauli