FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Nlibet na swalehe simba wakishinda week ijayo yote haendi shule naenda mimi kwa niaba [emoji1787][emoji1787] eeh mungu baba nashukuru
Kutokwenda shule nayo inaweza kuwa zawadi ya kushinda bet? Simjui Swalehe ila sidhani kama shule imo, kutokwenda shule hakuwezi kufanyika incentive, unless uwe unatania hapa.
 
Simba Ooops 🙊🙊🙊🙊 Wydad 😜😜
20230429_001634.jpg
 
Mm Nina deni n Chama.

Chama ntibanzoka , Onyango Boko zote hizi umri umeenda. Kimataifa ni pumzi na akili . Peak yao imeshashuka.

Chama kaanza kuzingua tangia Dar na leo tena , Onyango ni special case , Ntibanzoka ni hawezi international games ...... yaani Simba inahitaji players wenye spirit Kama Enock or else hizi hatua za knock out tuwachie watu walio Serious

Sisi tuendelee na inshallah inshallah eee Mungu tusaidie kushinda as if mungu ni wa simba tu , absurd


Hakuna mpira wa mungu mungu , mpira ni science , does not need faith
 
Back
Top Bottom