FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Hata mwaka jana bahati haikua yetu, na mwaka huu pia, ila Kocha ni mzuri anapaswa kupewa sajiri za uhakika. Tutafika mbalii
Na mwaka kesho, na mwaka kesho kutwa bahati haitakua yenu.. 🤣🤣🤣

Unavyowaona hao Wydad wanachukua hivyo vikombe unadhani ni bahati eeh?
 
Simba janja janja ya usajiri ndio inatufikisha hapa kila mwaka.

Toa hawa msimu ujao.

Okwa
Akpan
Okra
Banda
Sawadogo
Onyango
Sacko
Ntibayonkiza

Sajiri
Adebayo
Mshambuliaji mmoja
Beki mbadala wa Onyango.
 
Tuacheni lawama zisizo msingi,sababu kibao hivi nani alitegemea wangefika kwenye matuta kila mtu aliutaka ushindi
Hata kama mmetolewa ila kwakweli mlipambana kiume sana.
Wabongo ndivyo tulivyo lawama kila siku tu,shenzi type
Kila la kheri yanga,poleni wana simba
 
ZERO shot on target
 

Attachments

  • Statics.jpeg
    Statics.jpeg
    189.9 KB · Views: 1
Mashabik wa simba wanavyo sema wamekufa kiume nakumbuka kuna jamaa mmoja alifumwa na mke wa mtu wahuni wakapasua spika asa wana wakawa wakimuuliza oya hawajakufanya chochote mwana anajibu wamenifir* ila kwa tabu sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmm bw a wewe 🤣🤣🤣🤣
 
Mashabikinwa yanga Leo tumekaa kichawi Sana humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nilikua napiga dua hapa jamaa wasiende. Kesho tungeamka tunasimangwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hicho tu utawaombea dua wakishinda masimango hz mbwa zkome tu
 
Kwani nyinyi hamkupata nafasi ya kushiriki haya mashindano (CAFCL), kama mliipata ilikuwaje?

Ukijibu hili swali, utaelewa ni heshima gani aliimanisha huyo uliyemquote.
Heshima kwa aliyeshinda ukienda vitan rudi mshind tukupe heshima ukifia huko imeisha hyo
 
Back
Top Bottom