FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Mjipange kwa ajili ya msimu ujao. Robo fainali ndiyo kipimo chenu cha mwisho cha mafanikio.
Sawa.

Ila huwezi kula keki ambayo huna. Huwezi hata kuongelea utamu wake sababu hujawahi kuila. Fika kwanza robo fainali kwenye haya mashindano, vuka kisha ongea kuhusu hayo mafanikio na vipimio unavyosema.
 
Huu ushauri utautoa baadaye. Ngoja kwanza tufike fainali kwenye haya mashindano mliyotolewa kwa aibu kule Afrika ya kusini.
 
Wao hawakutaka kombe la loosers,ila wamepotea na uwanjani walikojipendekeza,pia hawakumbuki waliwasha 🔥 uwanjani south wakitaka kombe wanaliita la loosers tena kimiujiza kama ya Mackenzie 🏃🏃
 
Hakuna kufa kiume, simba inabidi tujue kucheza game ya nyumbani, kutumia nafasi hawa kenge hapa nyumbani walikuwa wafe 3, tukacheza mdako, tukaridhika na kimoja, tumeenda kule wachezaji hawajiamini, ni INONGA pekee alicheza kwa utulivu, wengine woote kina mzamiru utulivu sifuri..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…