Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Sawa.Mjipange kwa ajili ya msimu ujao. Robo fainali ndiyo kipimo chenu cha mwisho cha mafanikio.
Ila huwezi kula keki ambayo huna. Huwezi hata kuongelea utamu wake sababu hujawahi kuila. Fika kwanza robo fainali kwenye haya mashindano, vuka kisha ongea kuhusu hayo mafanikio na vipimio unavyosema.