mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
- Thread starter
-
- #221
Acheni kupunguza magoli nyie, izo 4 mbona kidogo mnoLeo matokeo WYDAD 4-0 SIMBA
Wydad 1-2 SimbaAcheni kupunguza magoli nyie, izo 4 mbona kidogo mno
Jitambulishe plz, je wewe ni guvu moya au daima mbele nyuma mwiko?Machinjioni [emoji23][emoji23][emoji23] aah huu utani wa ngumi
Pepo shindwa[emoji23][emoji23][emoji23]Wydad 1-2 Simba
Shindwa mwenyewePepo shindwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Siku nikiiombea mikia mema, nitageuka jiwe bure. Haijawahi tokea na haitatokea. Hiyo timu yenu siipendi kabisa. Leo mfungwe, mlie, mkonde πππππSi mambo yanazungumzika tu Shogaaa....
Kwanini tufikie kutakiana Ubaya wa wazi wazi namna hii[emoji1787]
Tuombee mema hata kidogo basi kipenzi..
Maendeleo hayana chama - John Pombe MagufuliMiye Yanga Damu
Ilq penye ukweli pasemwe
βοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈMaendeleo hayana chama - John Pombe Magufuli
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lol...Siku nikiiombea mikia mema, nitageuka jiwe bure. Haijawahi tokea na haitatokea. Hiyo timu yenu siipendi kabisa. Leo mfungwe, mlie, mkonde [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Ilo ni pepo tu ndio linakusumbua Mwananchi mwenzangu nalikemea Kwa nguvu zote.. pepo tokaaShindwa mwenyewe
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Ilo ni pepo tu ndio linakusumbua Mwananchi mwenzangu nalikemea Kwa nguvu zote.. pepo tokaa
AahaaaaaaLeo baada ya dakika 90....wale twarukaView attachment 2602094
Bantu kumbe unaakili nyingi we dada[emoji119]Siku nikiiombea mikia mema, nitageuka jiwe bure. Haijawahi tokea na haitatokea. Hiyo timu yenu siipendi kabisa. Leo mfungwe, mlie, mkonde [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mimi sijawahi na haitatokea, hiyo timu hata siielewi na siipendi. Leo waarabu wawafanyie kitu mbaya tu πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lol...
Huyu siyo wewe BL....
Mbona mimi nawatakiaga mema inapobidi[emoji2]
AahahaaGreatest Of All Time na hizo Dislike zako πππππ nakuchongea kwa mods waunganishe uzi, huu utamezwa endelea na ndiyo maana leo mnafungwa π€£π€£π€£π€£