FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Si mambo yanazungumzika tu Shogaaa....
Kwanini tufikie kutakiana Ubaya wa wazi wazi namna hii[emoji1787]

Tuombee mema hata kidogo basi kipenzi..
Siku nikiiombea mikia mema, nitageuka jiwe bure. Haijawahi tokea na haitatokea. Hiyo timu yenu siipendi kabisa. Leo mfungwe, mlie, mkonde 😄😄😄😄😄
 
Siku nikiiombea mikia mema, nitageuka jiwe bure. Haijawahi tokea na haitatokea. Hiyo timu yenu siipendi kabisa. Leo mfungwe, mlie, mkonde [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lol...
Huyu siyo wewe BL....

Mbona mimi nawatakiaga mema inapobidi[emoji2]
 
Leo baada ya dakika 90....wale twaruka
E6665591-D0DE-456F-8ED0-0B93F437A083.jpeg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lol...
Huyu siyo wewe BL....

Mbona mimi nawatakiaga mema inapobidi[emoji2]
Mimi sijawahi na haitatokea, hiyo timu hata siielewi na siipendi. Leo waarabu wawafanyie kitu mbaya tu 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Back
Top Bottom