FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Hahahahhahhahahaaaaahhaaahhaha

Sema Uzi umeanza ovyo mkuu ungewapa heshima zao Kwanza wanathimba...
Halafu kwenye komenti ndo tuwaponde...
Anyway rest in peace thimba[emoji82]

Utabiri...

Wydad Casablanca [emoji16] 5 weKundu 1 [emoji1787]
Unakumbushia khamsa za may 2012 au kile kipigo chako cha mwaka 1998 9:3?
 
Da umeanzisha huu Uzi wewe mwarabu feki. Nakuhurumia sana. Usikimbie tu kaa hapahapa nasi mpaka mwisho. Utopolo wewe
 
Never on the earth kitendo Cha kumpiga club Africaine ,tp mazembe nje ndani ,monastri , rivers United mnk ninkwakba yanga atacheza fainali hz za ccl Niko ddm ilazo pale kuelekea kwa wazir mkuu
 
Kweli wewe kitimoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…