MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
Tunaenda kuwakamua hao waarabu vilivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamtaamini kitachowapata🔥🔥🔥🔥Tunaenda kuwakamua hao waarabu vilivyo
Kipindi Cha kwanza kikiisha mniite niangalie kipindi Cha piliWanathiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiimbaaaaaaa[emoji350][emoji350]
Hayawi hayawi Sasa yamekuwa, Ile siku iliyosubiliwa Kwa hamu na waarabu wote hatimaye imefika..
Ni siku ya hukumu kwa mnyama Simba
Ni siku ambayo taifa la Tanzania linaenda kupata aibu kwa kipigo kizito watakachoenda kushushiwa Simba na waarabu wa Morocco.
Mwana kulitafuta mwana kulipewa, mtoto akililia wembe mwache umkate,
wameingia cha kike eeh waaah!!!
Kuwa nami mwarabu feki upate kile kitakachojiri pale katika Dimba la Mohamed V (machinjioni) Jijini Casablanca...
Mechi hii ya kukata na shoka itaanza majira ya saa 4:00 usiku kwa saa za Afrika mashariki na itarushwa na Azam Sports kupitia Channel ya ZBC2
Kaa nami mwanzo Mwisho......
Rest in peace Simba[emoji3545]
View attachment 2601876View attachment 2601877
Wengine Leo tunalala saa 3 mkuuKipindi Cha kwanza kikiisha mniite niangalie kipindi Cha pili
Nakumbusha tu kwamba namba 1 hadi 10 kwa kiarabu ni hizi;Simba Nguvu moja
Cwez kuangalia mauaji Mimi heri niangalie mwshon nkute mtu kashakufa chaliWengine Leo tunalala saa 3 mkuu
Inshaallah tutarudi tena hapa jamvini.Muda sio mrefu Simba hawataamini macho yao[emoji38]
Nimecheka sana😂Al khasus bin Hamsa wa Sufr, ummat Simba, Jazaaatiwa Hamsah
Tumalize ya leo kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]
Hicho kivumbi cha kesho
Hawataamini macho yao
Sijui nikutag[emoji38][emoji38][emoji38]
Si tupo hapaInshaallah tutarudi tena hapa jamvini.
..nyie Yanga Casablanca ndio hamtaamini macho yenu.
Chumba kipo cha kufanyiwa hiyo huduma ya kwanza?Humu ndani presha zenu ziko sawa sawa? Dr niko hapa mtu akiona anashindwa kupumua, aniite. Muda unaenda taratibu leo, ila dakika 90 zitaisha kama sekunde 💃💃💃💃
Ngoja tuone mkuu ila Simba😂😂
Hii mechi kwangu ninkama mtoko nimekuja msosi mzuri,nimepulizia nguo pafyumu ,jezi ya Wydad nimekosa naona nivae ya Morocco tu kwani nilikuwa nayo OG white ya unyama tokea naishabikia Morocco Qatar WC .Mkuu mnahangaika sana haha