FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Maneno ya Mwisho kwa wachezaji kabla ya shughuli pevu
20230428_193926.jpg
 
Wanathiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiimbaaaaaaa[emoji350][emoji350]
Hayawi hayawi Sasa yamekuwa, Ile siku iliyosubiliwa Kwa hamu na waarabu wote hatimaye imefika..
Ni siku ya hukumu kwa mnyama Simba
Ni siku ambayo taifa la Tanzania linaenda kupata aibu kwa kipigo kizito watakachoenda kushushiwa Simba na waarabu wa Morocco.

Mwana kulitafuta mwana kulipewa, mtoto akililia wembe mwache umkate,
wameingia cha kike eeh waaah!!!

Kuwa nami mwarabu feki upate kile kitakachojiri pale katika Dimba la Mohamed V (machinjioni) Jijini Casablanca...

Mechi hii ya kukata na shoka itaanza majira ya saa 4:00 usiku kwa saa za Afrika mashariki na itarushwa na Azam Sports kupitia Channel ya ZBC2

Kaa nami mwanzo Mwisho......
Rest in peace Simba[emoji3545]
View attachment 2601876View attachment 2601877
Kipindi Cha kwanza kikiisha mniite niangalie kipindi Cha pili
 
Kunahesabu ya kinajimu nimeigundua ya kupredict matokeo,Leo kutakuwa na penalt goal
Wydad 3-1,kama Simba akifanya jitihada Sana matokeo itakuwa 2-1
 
‏‎أيمن الحسوني سيلعب مباراته رقم 60 في دوري ابطال افريقيا رفقة الوداد الرياضي. -59 مباراة -3 أهداف -9 أسيست -سيصبح ثالث اكثر لاعب خوضا لمباريات دوري الأبطال في تاريخ الوداد بعد الثنائي وليد الكرتي ومحمد اوناجم.
 
Back
Top Bottom