FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Mzalendo kwenye nchi hii ni Mwigulu peke yake. Makolo wanapigwa khamsa soulimeti. Nipo nimekaa palee 😁😁😁🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️

View attachment 2602956
Haha Souulimeti tuwatakie kheri hivo hivo, tuwe wazalendo kwa leo. Ila wakishinda watatusumbua mtaani hawa ila sawa tu😀
 
Kwa moyo wa dhati kabisa nawatakia simba ushindi, naami watapata ushindi, japo kila mtu angependa kushinda lakini tunaomba nasi tuonekane katika ulimwengu wa soka, wenzetu wamefika mbali walao nasi tupate nafasi.
 
Back
Top Bottom