FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Haha Souulimeti tuwatakie kheri hivo hivo, tuwe wazalendo kwa leo. Ila wakishinda watatusumbua mtaani hawa ila sawa tu😀
 
Kwa moyo wa dhati kabisa nawatakia simba ushindi, naami watapata ushindi, japo kila mtu angependa kushinda lakini tunaomba nasi tuonekane katika ulimwengu wa soka, wenzetu wamefika mbali walao nasi tupate nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…