Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Nenda kamtumikie mumeo saa hiziUjinga huu wa kufungua uzi muda huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kamtumikie mumeo saa hiziUjinga huu wa kufungua uzi muda huu
Sijui nayeye amefata nini usiku huu humu jamviniNenda kamtumikie mumeo saa hizi
Huyo ni wa kumpuuzaSijui nayeye amefata nini usiku huu humu jamvini
Kila la kheri wenyeji, nawaombea mshinde 10!
ثلاث دقائق الهدف الأول
الهدف الثاني ثماني دقائق
خمس عشرة دقيقة الهدف الثالث
الهدف الرابع في الدقيقة العشرين
الهدف الخامس في الدقيقة الثلاثين
الهدف السادس في الدقيقة الأربعين
الهدف السابع في الدقيقة السابعة والأربعون
الدقيقة الستون الهدف الثامن
الهدف التاسع وسبعون دقيقة
الدقيقة الرابعة والثمانون الهدف العاشر
Watu Mna jua kukera[emoji81][emoji81]
Hizi goli alipigwa uto na raja kule morokoWaarabu msiniangushe... 6-0 itapendeza zaidi
SIMBA atatoa suluhu ama atashinda hii gameUtabiri wangu:
Wydad 2-1 Simba
Aggregate: 2-2
Simba watafuzu kwa goli la ugenini
Tunaiombea SIMBA ushindiJioni moja ya mwaka 2003, jijini Cairo nchini Misri kulikuwa na mechi nzito, uwanja ukiwa umetapika kulikuwa na shujaa mmoja aliyekuwa golini akiibeba timu yake ya Simba Sc kwa kupangua mikwaju ya penati na kuivua taji mabingwa watetezi Zamalek. Shujaa huyo si mwingine ni Juma Kaseja. Dunia ikabaki imeduwaa.
Leo 28.04.2023 miaka 20 baadae, Simba ipo tena uarabuni kucheza na bingwa mtetezi ambaye ni Wydad, katika mazingira yaleyale.
Simba atashuka akiwa na mtaji wa goli 1-0 katika mchezo wa kwanza, uliopigwa Tanzania. Je historia kujirudia? Simba ataweza kuivua Wydad ubingwa akiwa kwao kama ilivyokuwa miaka 20 iliyopita pale Zamalek. Sababu wanayo, uwezo wanao nia pia wanayo.
Ni mechi ya kufa au kupona, ewe Mwana Simba uliyepo Ndola, Tanga, Entebbe, Nakuru na maeneo mengine tembea kifua mbele, usiwe mnyonge kwa Simba hii mwarabu atakufa kwao. Je Shujaa atakuwa nani? Baleke, Chama, Inonga au Kiungo punda Mzamiru?
Mechi itakuwa mubashara kuanzia Saa 4:00 Usiku kwa Masaa ya Afrika Mashariki na mchezo utakuwa live kupitia ZBC 2 ya AzamTv, Chaneli 225 ya DStv, Canal Plus na Bein Sports.
UchawiWydad 4 1 Simba