FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Madunduka musijali, tutawalipizia kisasi mwakani tutakutana nao fainali hao

Ngoja mwaka huu tuchukue shirikisho kwanza
 
Kule brazili tuki zidiwa uwa tuna butua butua hadi mpira uishe mna sikia vijana ..cc roberthino
 
Kila penye Goli , onyango lazima ahusike

Hivi hakuna mbadala.........
Ni kama
Vile kuna moment uwezo wa kufikiria namna ya kuondoa hatari unapotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…