FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati


Umewawekea mpaka dakika za magoli.
Naona dakika ya 3,8,15,20,30,40,47, 60, 70 na 84.
Wapunguzie kaka wataogopa kwenda Mohamed V..
 
Ninamhurumia sana mtani, anaenda tena kulidhalilisha taifa.
 
Tunaiombea SIMBA ushindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…