Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kirahisi hivyo binti yangu, jiamini.[emoji23][emoji23][emoji23]
Ulinzi shirikishi ni muhimu, nisije mpoteza baba angu kipenzi..!!
Battle confusion hiyoYanga leo hawachezi bosi
Jikite kwenye mada 😁😁😁
Mechi bado sana hii...Nilitaka kushangaa, taifa lisiaibishwe mpaka dakika hii?
Unatafuta nini hapa?Khamsa khamsa imeanza hiyo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤗
N kama kamshtukiza goal keeper[emoji3][emoji3]jmn!Onyango ametaka kutuuza tena.
Wapigane tu, huenda ikasaidia tukapata upenyo wa kufika golini kwaoWanataka kupigana wao kwa wao