Sio kirahisi hivyo binti yangu, jiamini.[emoji23][emoji23][emoji23]
Ulinzi shirikishi ni muhimu, nisije mpoteza baba angu kipenzi..!!
Battle confusion hiyoYanga leo hawachezi bosi
Jikite kwenye mada πππ
Mechi bado sana hii...Nilitaka kushangaa, taifa lisiaibishwe mpaka dakika hii?
Unatafuta nini hapa?Khamsa khamsa imeanza hiyo π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€
N kama kamshtukiza goal keeper[emoji3][emoji3]jmn!Onyango ametaka kutuuza tena.
Wapigane tu, huenda ikasaidia tukapata upenyo wa kufika golini kwaoWanataka kupigana wao kwa wao