Akipata goli moja tu kabla Wydad hajaongeza la pili, hii game itakuwa ngumu sana kwa Wydad.Hii Mechi Simba aanavuka.
Ingekuwa ni Yanga mida huu tayari washapigwa bao 4 na mengine mawili wamebisha
Wapigane tu...Wanataka kupigana wao kwa wao
uNALIA na Onyango au u NALIA NGWENA ? Mbaga JrMimi nalia Na onyango kwann alikuwa analia Akiwa Bench?
Hiyo furaha ni ya muda tuWaarabu wamejua kunifurahisha ulijuaje 🤗🤗🤗🤗🤗
Ninashangaa hamjaongezewa ka pili. 😁Mechi bado sana hii...
Na mimi nahisi Kolo FC watawanyanyua makolo vitini leo😁😁Bando nina imani na Madundukaz wanaweza kutoa Taifa kimasomaso..
Ucheze na yanga kibwege hivyo akuacheIngekuwa ni Yanga mida huu tayari washapigwa bao 4 na mengine mawili wamebisha