FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Ukweli ni kwamba Refa anawatafutia magoli Hawa Waarabu.
 
Simba timu kubwa sana hapa Afrika.. pamoja na fitna zote lakini Mnyama anadhihirisha ubora wake barani Afrika.... Kila la kheir Simba
Fitina gani miaka hii mkuu? Siku hizi kila timu inajitegemea kuanzia usafiri,hotel na mambo yote...... Timu bora inashinda popote....haya unayoyasema yalishapitwa na wakati
 
Greatest of all time kuweka 😑😑 kwenye post za mashabiki wa yanga haitakusaidia kitu, simba lazima ifungwe. Juzi ulijitapa kua wewe ni shabiki wa river tena mkazi wa nigeria hivyo tulia sindano ikuingia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…