Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanathiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiimbaaaaaaa[emoji350][emoji350]
Hayawi hayawi Sasa yamekuwa, Ile siku iliyosubiliwa Kwa hamu na waarabu wote hatimaye imefika..
Ni siku ya hukumu kwa mnyama Simba
Ni siku ambayo taifa la Tanzania linaenda kupata aibu kwa kipigo kizito watakachoenda kushushiwa Simba na waarabu wa Morocco.
Mwana kulitafuta mwana kulipewa, mtoto akililia wembe mwache umkate,
wameingia cha kike eeh waaah!!!
Kuwa nami mwarabu feki upate kile kitakachojiri pale katika Dimba la Mohamed V (machinjioni) Jijini Casablanca...
Mechi hii ya kukata na shoka itaanza majira ya saa 4:00 usiku kwa saa za Afrika mashariki na itarushwa na Azam Sports kupitia Channel ya ZBC2
Kaa nami mwanzo Mwisho......
Rest in peace Simba[emoji3545]
Timu zote tayari zimeshaingia uwanjani kupasha misuli tayari Kwa mpambano huu wa Leo [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
00" Mpira umeanza hapa katika uwanja wa Mohamed V Wydad ndio wamekuwa wa kwanza kugusa Mpira ule
03" Wydad wameanza kusaka bao la mapema
06" Simba wanapata kona ya kwanza ya mchezo ila haikuzaa bao
13" Milango bado migumu kwa pande zote mbili
20" mashambulizi yanaongezeka kuelekea lango la Simba, ila golikipa Ally Salum anakaa vema na kuondoa hatari ile
24" Goooooooo Wydad wanapata goli la kwanza
30" Simba inapataa faulo eneo zuri lakini mpira unaokolewa na kuwa ni wa kurusha kuelekea lango la Simba
45"+1 Imeongezwa Dak 1 ya nyongeza hapa
Mpira ni mapumziko Wydad wanaongoza Kwa goli moja
View attachment 2602892View attachment 2602894
Game nyeupe kabisa hii kuna mtu atadhalilika muda c mrefu we ngoja [emoji2]Bado mechi ipo wazi mpaka sasa kila mmoja ana nafasi ya kusonga mbele. Wydad wana kazi ngumu mbili kutoruhusu goli pia kuongeza goli.
Fitina gani miaka hii mkuu? Siku hizi kila timu inajitegemea kuanzia usafiri,hotel na mambo yote...... Timu bora inashinda popote....haya unayoyasema yalishapitwa na wakatiSimba timu kubwa sana hapa Afrika.. pamoja na fitna zote lakini Mnyama anadhihirisha ubora wake barani Afrika.... Kila la kheir Simba
Sisi siyo Rivers United wewe,tuongezwe mapema hivyo!Ninashangaa hamjaongezewa ka pili. [emoji16]
Mnyama ana taji lipi Africa au ukubwa upi?Simba timu kubwa sana hapa Afrika.. pamoja na fitna zote lakini Mnyama anadhihirisha ubora wake barani Afrika.... Kila la kheir Simba
Mtani Kubali tu Mnyama anaupiga mwingi sanaHongereni sana madunduka,kufungwa,mkikaza mnaweza kupata goli
Guvu moya 😀