FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Tatizo la makolo, yakifuzu leo..sisi wiki nzima tutie pamba masikioni na kuvaa mask...ni kuongea na kutumwagia mate usoni hadi basi
 
Yule kipa wao kama anarudi, Simba wapige tu golini hata kutokea mbali hamna kipa pale. Ndiyo maana unaona kina Saidoo wakipiga mashuti mabeki wanahakikisha hayafiki golini.
 
Ucheze na yanga kibwege hivyo akuache
Halafu muwage na adabu basi walau kidogo,yaani ligi ya mabingwa inarindima wewe unabana pua kabisa na kuitaja yanga hapa!!!!!?????uhuru umezidi nchi hii,subirini FUTUHI kesho mtayataja hayo matakataka yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…