Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Mambo ya Yaccine app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya Yaccine app
Hamuwezi kupigwa kimyakimya bila kuitaja Yanga?Ingekuwa ni Yanga muda huu tayari washapigwa bao 4 na mengine mawili wamebisha
Kujifariji sio vibaya ila Kwa Mpira wa butua butua wanaocheza Simba sioni huo uwezekanoHawa waarabu ni wetu.
Kombe la wakubwa hili.Tatizo la makolo, yakifuzu leo..sisi wiki nzima tutie pamba masikioni na kuvaa mask...ni kuongea na kutumwagia mate usoni hadi basi
Halafu muwage na adabu basi walau kidogo,yaani ligi ya mabingwa inarindima wewe unabana pua kabisa na kuitaja yanga hapa!!!!!?????uhuru umezidi nchi hii,subirini FUTUHI kesho mtayataja hayo matakataka yenuUcheze na yanga kibwege hivyo akuache
Mungu ni mwema tusubiri kipindi cha pili tuone atatutendea namna ganiMungu tusaidie tupite[emoji1545] maana mji tutauona mchungu
Kaa kwa kutulia mkuu... Hii ni ligi ya Mabingwa Barani AfrikaMnyama ana taji lipi Africa au ukubwa upi?
kibu hana shida sanaOnyango na Kibu wasirudi uwanjani
Nafasi ya kwenda wapiJapo uwanja umeinama bado nafasi tunayo...lets go MnyamaView attachment 2602975
Itakua wewe ni utoTuwe wakweli, kwa sasa hakuna mbadala wa Onyango pale simba!!
Yani tutazomewa hadi tukome wallahMungu tusaidie tupite[emoji1545] maana mji tutauona mchungu
Ashura jumapili anapigwa mtungi na wanaijaZuwena wakikaza wanatoboa
Huku hakuna kubebana, chezeni mpira wa kueleweka.Hawa marefa washenzi tu. Waarabu siku zote nasema wana mpira wa kawaida ila ujanja mwingi tu.