FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Ukweli ni kwamba Refa anawatafutia magoli Hawa Waarabu.
Kivipi? Kwenye swala la V.A.R refa ndiye anayestuliwa kuhusu kufanyika kwa review tukio. Ingekuwa ni maamuzi ya refa pale angeamua kufunika penati kabla hata ya kufanyiwa review tukio. Ila refa aliruhusu mpira uendelee ndipo akazuiwa kwanza na watu wa V A.R asimamishe kwanza.
 
Game yetu hii sema pale mpele inabd kinachama wawe wakali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…