FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Ila kipa Salum naye asikariri, kuna mipira ya kudaka. Ule mpira ulikuwa wa kudaka.
 
Fouls nyingi zisizo na msingi anawapa Wydad na za Simba Zenye mazingira hayo hayo anazipotezea.
 
Hawa washenzi watamtarget Chama apate kadi ya pili, awe makini sana maana mtu wao alifanya faulo ile ile kama ya Chama ila refa hakutoa kadi.
 
Yamepigwa mashuti 6 na 4 kati ya hayo ni blocked, mawili ni off target



Kwa kule futuhi ni sawa na goli sita hizo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naona mnyama akiendesha baiskeli ziwani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…