MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
Timu yako haishiriki champions league unapata wapi ujasiri wa kupost utopolo kwenye huu uzi kama sio kimuhemuhe.
Machampions tunafuzu ☝️
Machampions tunafuzu ☝️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kipa Salum naye asikariri, kuna mipira ya kudaka. Ule mpira ulikuwa wa kudaka.Hii game ilikuwa siyo ya kupoteza kipindi cha kwanza, tumefungwa goli kutokana na ujinga ambao hauvumiliki kabisa tena (baada ya ule mbele ya Raja)
Wydad hana mpira wa kumtoa Simba Sc ni wa kawaida sana, ila kwa huu upumbavu wa Onyango, Saidoo na Chama tutatoka.
Plan ya kocha umefanya kazi vizuri, hana lawama zozote za kubeba hata kama tutatoka.
Kila game ina approach yake kolo wewe, kwanza usifananishe wananchi na hawa makolo.Hapa Uto wangeshapigwa 3 kwa boli hili labda uwe shabiki maandazi. Jaribu kufananisha game ya Rivers Vs Yanga na leo! Totally different [emoji4]
Unasikiliza mpira redioni?Walah Nasemaje Labda tu Bahati Iwe Yao Hii game tunatoboa.
Onyango kafanya makosa ktk ukabaji.. mpira ulidunda kipa akapoteza timingTuachane na onyango..ili goli ni la kipa kabisa ..poor poor goal keeping .
Ni kweli huwezi fungwa kwa kichwa kwa distance ile kirahisi,hata kama umedunda....dogo kazingua paleTuachane na onyango..ili goli ni la kipa kabisa ..poor poor goal keeping .
Fouls nyingi zisizo na msingi anawapa Wydad na za Simba Zenye mazingira hayo hayo anazipotezea.Kivipi? Kwenye swala la V.A.R refa ndiye anayestuliwa kuhusu kufanyika kwa review tukio. Ingekuwa ni maamuzi ya refa pale angeamua kufunika penati kabla hata ya kufanyiwa review tukio. Ila refa aliruhusu mpira uendelee ndipo akazuiwa kwanza na watu wa V A.R asimamishe kwanza.
Onyango dogo dah !Simba tutafute beki za kueleweka,huyu dogo Onyango inatosha sasa aondoke
Aisee na Iwe kama usemavyo !!Walah Nasemaje Labda tu Bahati Iwe Yao Hii game tunatoboa.
Mpira umedunda mbele ya kipa na kisha ku-gain momentum ila kipa alikuwa ana save ...Tuachane na onyango..ili goli ni la kipa kabisa ..poor poor goal keeping .
Penalties directHii game wakidroo kuna extra time au penalty direct?
Njoo uwe refaFouls nyingi zisizo na msingi anawapa Wydad na za Simba Zenye mazingira hayo hayo anazipotezea.