FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Huu mtanange utarushwa DSTV channel namba ngapi?
64cb6fef63dc479a82d4efb61b2a5763_343310243_569180415310610_2400165960567465587_n.jpg

Cc. Kalpana

We kweli utopolo mechi kakwambia nani ni saa 3?? Muwe na akili basi
 
Mimi ni Yanga, niseme wazi kabisa simba anasonga mbele leo mikeka ya watu inakwenda kuchanika.

Nimeona watu wengi wanaipa Wydad nafasi kubwa sanaaaa as if huu sio mpira wa Miguu.

Mpira wa miguu mambo yake tusikariri, ajabu na nusu simba anaweza kusonga mbele Yanga tukafurushwa.
 
Kabisa kabisa.....

giphy.gif
 
Wanathiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiimbaaaaaaa[emoji350][emoji350]
Hayawi hayawi Sasa yamekuwa, Ile siku iliyosubiliwa Kwa hamu na waarabu wote hatimaye imefika..
Ni siku ya hukumu kwa mnyama Simba
Ni siku ambayo taifa la Tanzania linaenda kupata aibu kwa kipigo kizito watakachoenda kushushiwa Simba na waarabu wa Morocco.

Mwana kulitafuta mwana kulipewa, mtoto akililia wembe mwache umkate,
wameingia cha kike eeh waaah!!!

Kuwa nami mwarabu feki upate kile kitakachojiri pale katika Dimba la Mohamed V (machinjioni) Jijini Casablanca...

Mechi hii ya kukata na shoka itaanza majira ya saa 3:00 usiku kwa saa za Afrika mashariki na itarushwa na Azam Sports kupitia Channel ya ZBC2

Kaa nami mwanzo Mwisho......
Rest in peace Simba[emoji3545]
View attachment 2601876View attachment 2601877
Ulichelewa kuleta huu mzigo.
 
Back
Top Bottom