Sio rahisi kocha kubadili mfumo unaofanya kazi, wewe kolo umejaa kibanda umiza unaongea tu kirahisi, plans za kocha zinakwenda vizuri so far.Mbna Simba hakuna sub
Hakuna extra time mkuu.Wakubwa...
Hii itaenda mpaka 120 ama 90
90+4Wakubwa...
Hii itaenda mpaka 120 ama 90
Katoka nani?Nyoni kaingia as how I said atafaa kwenye hizi dakika za mwisho.
UsichekeHii game tukifungwa hizi dakika za mwisho ni maumivu makali sana aiseeh[emoji23]
Twende matuta tujue ni nani ana bahati ya kuendelea maana kimpira tumelingana, eeeh Mungu tusaidie sisi aiaeeh.Hii game ina goli moja la ziada kabla ya dakika 90
Dakika ya ngapi huko? Mi naumwa tumboDakika noma sana hizi