BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,362
- 3,252
Shukrani sana mdauuNikiwa kama mdau wa michezo; nichukue nafasi hii kuwapongeza simba. Kwa kweli wamejitahidi katika hizi dakika zote walizocheza.
Wyadad wakizubaa, wanatolewa kimasihara eti!
Mungu saidia[emoji120]Tunaenda nusu fainali kwa penati
Tabiri uone,niwatabirie ngapi ngapi??View attachment 2603109
Golikipa alitakiwa aupige mpira ngumi ubadilishe uelekeo badala ya kutaka kuudaka.Lile goli goli kipa yeyote mzoefu hata kado t hafungwi,mpira kaukuta vizuri tu sijui alikua anafkiria Nini pale anausindikiza na macho na mikono ,..hata commentator anasema kbsa hii goli kipa alitakiwa adake au atoe ..
Umeona Mume wenu tunachokifanya ??.Haha, tatizo linaanzia hapa. Yaani hamjashinda mnaanza kutema povu, basi fungweni tu tujue moja.π
ππππ Pole sana. Jikaze maajabu yanataka kutokea hapa. Mnyama amepambana vilivyo hapa. Waarabu hawaamini wanachokionaDakika ya ngapi huko? Mi naumwa tumbo
Simba amepambana kwa niaba ya nchi, kwa niaba ya Tanzania, kwa niaba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania [emoji106]Kwakweli Simba wamepambana sana, mm ni YANGA damu ila hii SPIRIT ya SIMBA ya Leo ni kubwa.
Sijali matokeo yatakuwaje ila SIMBA wamepambana sana leo.
HONGERENI saaana.
PenaltiesNi extra au penalty??
Sema harakaniwatabirie ngapi ngapi??View attachment 2603109
mkuu usitake kunisababishia ban,kitu alichofanya onyango nafikiri nishie apo..Beki asifiwi.nyie mnataka onyango acheze kama mchezaji wa mbele.hebu mpeni onyango heshima yake.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app