FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Jamani onyango amepambana,hio beki anayopiga hapo,kafanikiwa kuwathibiti washambuliaji,msimchukulie poa,kuaminiwa na kocha ni kazi kubwa [emoji3][emoji3][emoji3]
Tutaiita "kuaminiwa" pale ambapo kocha atakuwa na option nyingine zinazoeleweka.
 
Back
Top Bottom