Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi Yanga, lakini mzalendoSawa..
Hatuwezi kutolewaHapa hata tukitolewa sawa tu. Kiroho safi
Tutaiita "kuaminiwa" pale ambapo kocha atakuwa na option nyingine zinazoeleweka.Jamani onyango amepambana,hio beki anayopiga hapo,kafanikiwa kuwathibiti washambuliaji,msimchukulie poa,kuaminiwa na kocha ni kazi kubwa [emoji3][emoji3][emoji3]
alitaka ku punch ila ali u punch soft sanaGolikipa alitakiwa aupige mpira ngumi ubadilishe uelekeo badala ya kutaka kuudaka.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
PenaltyNi extra au penalty??
Kinachomfanya Onyango aendelee kuwepo ndani ya Simba Sc ni kitu gani
umetoshana nguvu na bingwa mtetezi