Kama Wana uwezo waende fainali na ubingwa wachukue.Hapa ni kuomba tu Yanga waishie nusu fainali
Kutoka kiume?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wametoka kiume
Tunasubiria mechi ya bonanza jpili.Naomba ulale tafadhali[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Pole nkamuAlly hayupo vizuri kwenye penalt naogopa sana
Hizo zitakuwa kelele sio maombi.Hapa ni kuomba tu Yanga waishie nusu fainali
Ndio maana mimi nataka niibuke majuu ,Morroco na Aljeria kuna watoto wazuri balaa.
[emoji81]dua zime fika bhana kesho tuka liheshimishe taifa hawa pimbi wana maneno sana warudi kupambania azam confederation cupMashabikinwa yanga Leo tumekaa kichawi Sana humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nilikua napiga dua hapa jamaa wasiende. Kesho tungeamka tunasimangwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
AahaahahhaaHizo zitakuwa kelele sio maombi.
Uko sahihi wamepambana hata waarabu wa Bongo wanashangaa walidhani tutatolewa kizembe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pole sana. Jikaze maajabu yanataka kutokea hapa. Mnyama amepambana vilivyo hapa. Waarabu hawaamini wanachokiona
Yaani hatujifunzi , mara mbili mfululizo tunatolewa Kwa penatiMimi nilijua mapema kuwa hatuna kipa wala wapiga penalty, na sidhani hata kulikuwa na maandalizi ya kucheza penalty.
Tumetoka.
Imeshatokea, Simba OUT![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kocha ni msenge tuu,alishindwa kufanya Sabu dakika 10 kabla Waarabu walipokuwa wamechoka?