Yaani nimeumia.., mi naacha kushabikia moira bhanaaSijui niache kushabikia mpira wa hasa hizi timu za hapa nyumbani na Afrika nzima [emoji34] inauma sana
Hakuna cha ubora wala nini sema mnakutana na vibondeMaombi hayasaidii Kwa timu bora mkuu
Hongera Kwa wachezaji wetu wamejitahidi ila nahisi angekuwepo Manula huenda angefanya kitu.
Uzuri hatujapiga hatua nyuma.
Hawa waarabu mechi ya kwanza tusingepotezaga nafasi lukuki mechi ya kwanza ni level yetu kabisa.Wabapoteza Mpira kama Saidi NtibazonkizaHakuna kitu hawa ni Waarabu Koko tu, tangu nianze kuangalia mpira 1998 sijawahiona Waarabu walaini laini hivi wanaopiga mpira taratiiibu kama Ruvu Shooting.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Na miye naomba apangwe nayeMamelod huyu Wydad anajipigia kama ngoma.
Una hela au,unadhani huwa wanadate na ngozi nyeusi bila mpunga wale??utaishia kula kwa macho tu mkuu,,wale watu ni wabaguzi sanaNdio maana mimi nataka niibuke majuu ,Morroco na Aljeria kuna watoto wazuri balaa.
Hakuna cha heshima hapo SIMBA OUUTTTTTT kutolewa kunauma
πππNimefurahi sana ngoja nikalale sasa