FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

20230429_001714.jpg
 
Hakuna kitu hawa ni Waarabu Koko tu, tangu nianze kuangalia mpira 1998 sijawahiona Waarabu walaini laini hivi wanaopiga mpira taratiiibu kama Ruvu Shooting.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hawa waarabu mechi ya kwanza tusingepotezaga nafasi lukuki mechi ya kwanza ni level yetu kabisa.Wabapoteza Mpira kama Saidi Ntibazonkiza
 
Back
Top Bottom