FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Wananchi tupewe far rabat tuka safishe jina la nchi .hawa mbwa wame chafua
 
Na miye naomba apangwe naye
Ndio atakaye kutana nae hujaona hapo kwenye uchambuzi wameonyesha Road to nusu fainal Wydad anamsubiri mshindi kati ya Mamelod vs yule mwarabu (sijui nani),ambaye alipigwa nne moja kwake .
 
Aliogopa kutoka kwenye plan,

Kimsingi sub zilitakiwa pale, phiri mkimbiaji na sakho. Wangefanya usumbufu sana.

Ndo hivyo imeisha.
Huna akili huyo ndio kafungisha Timu,huna kipa huna wapigaji na unajua penalty ni bahati nasibu unawachezesha wachezaji Kwa mentality hiyo Ili iwaje?
 
Nahisi hajakuwa trained kucheza penati...

Tazama kipa wa Wydad alikuwa anaruka kwa kuhama upande, kabahatisha kucheza penati 2...
Hakuna kit kama hicho ...hujui kpira wewe ,penalty Si lelemama...kipa ndiye anajua ugumu wake! Sio suala lankiruka tu
 
Hatuwadai kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…