Kuwa out sio sifa ya kuchekelea mbonaImeshatokea, Simba OUT![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yeah hana experienceNahisi hajakuwa trained kucheza penati...
Tazama kipa wa Wydad alikuwa anaruka kwa kuhama upande, kabahatisha kucheza penati 2...
Es TunisNdio atakaye kutana nae hujaona hapo kwenye uchambuzi wameonyesha Road to nusu fainal Wydad anamsubiri mshindi kati ya Mamelod vs yule mwarabu (sijui nani),ambaye alipigwa nne moja kwake .
Kalale tu[emoji38][emoji38][emoji38]
Huo mda mrefu ni WA kusindikiza Waarabu au?Simba ni Project ya Muda mrefu.
Ebu muite Pisi Kali Mtani wako Kalpana tumpe pole hapa Six Stars Hotel Vingunguti Dar maana atakuwa ana stress sasa hivi.GAME OVER...
Mnacheza kombe gani nyie kinyesi fc???hebu tukumbusheWananchi tupewe far rabat tuka safishe jina la nchi .hawa mbwa wame chafua
So what?Kumbuka tumecheza na bingwa mtetezi ila team za shirikisho ni za hovyo hovyo
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hawaamini wanachokiona, wanatucheka lkn moyoni mwao wanatu apreciate. Mana walitegemea tungefungwa goli nyingVp,kale kamsemo kenu kuwa tutakula nyingi,bado kapo???
Penalty hazina mwenyewe mkuu, mimi nimesikitika ila sio kama ambavyo ningeumia tungefungwa ndani ya dk 90.Sijui niache kushabikia mpira wa hasa hizi timu za hapa nyumbani na Afrika nzima [emoji34] inauma sana
Endelea kufurahi kwani furaha yako itadumu basi?Mimi nafurahi tu Madundukaz kutoka ,najua mtakuwa na vinenonvya kujifariji lakini haisaiidii chochote .
Penye ukweli kuwa wazi, hii level Yanga alitolewa na Al hilal hata makundi hakuingiaMshabiki wa Simba sisi tuko mbali sana kiuwezo kuliko Uto hii level inawahitaji miaka hata mitano kufikia
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Ufananishe bingwa mtetezi wa champions league na Rivers United unakuwa Huna akiliSo what?
Kabla ya hapo mlisema mnawadai Nusu fainaliHAKUNA DENI..
HAKUNA DENI..
HAKUNA DEEEENI ....nasema..
Njooni Nyumbani Walume kuna Ujumbe Mmetuma kwa Wadau Wote Wa Soka...!
Sisi WanaSimba tumewaelewa...
Mmpuuzeni Yeyote atakayewabeza..!