FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Imeshatokea, Simba OUT![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuwa out sio sifa ya kuchekelea mbona
 
Ndio atakaye kutana nae hujaona hapo kwenye uchambuzi wameonyesha Road to nusu fainal Wydad anamsubiri mshindi kati ya Mamelod vs yule mwarabu (sijui nani),ambaye alipigwa nne moja kwake .
Es Tunis
 
Kwahiyo midhani mtafuzu???
Sio kila ndoto hutimia jamani 🏃
FB_IMG_16736758773368670.jpg
 
Sijui niache kushabikia mpira wa hasa hizi timu za hapa nyumbani na Afrika nzima [emoji34] inauma sana
Penalty hazina mwenyewe mkuu, mimi nimesikitika ila sio kama ambavyo ningeumia tungefungwa ndani ya dk 90.

Kizuri ni kwamba kocha kaonyesha matumaini kwa hikihiki kikosi cha kawaida, uhakika wa kushiriki tena CAFCL na kuvuka makundi mpaka sasa bado tunao ikiwa utafanyika usajili wa maana. Shida iliyopo ni hao madalali ambao kila siku wamekuwa wakutuletea wachezaji wa ajabu.

Kati ya pro wote pale Simba Sc emagine tunatumia sita (6) tu, team ikifanya usajili mzuri kisha tusifukuze kocha, basi msimu ujao utakuwa mzuri huku CAFCL.
 
Mshabiki wa Simba sisi tuko mbali sana kiuwezo kuliko Uto hii level inawahitaji miaka hata mitano kufikia

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Penye ukweli kuwa wazi, hii level Yanga alitolewa na Al hilal hata makundi hakuingia

Kuhusu huko shirikisho, km simba angekuwa huko kwa team za mwaka huu, angefika final na kuchukua kombe.
 
Back
Top Bottom