FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

Greatest Of All Time na hizo Dislike zako πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ nakuchongea kwa mods waunganishe uzi, huu utamezwa endelea na ndiyo maana leo mnafungwa 🀣🀣🀣🀣
Dislike nazitembeza kwa kasi (kwerikweri) 🀣🀣🀣ila watu wa Yanga tulieni shughuli yenu jumapili
 
Mnyama mawindoni.

d432313566b64f25a411c9d616532a82.jpg
 
Hahahahhahhahahaaaaahhaaahhaha

Sema Uzi umeanza ovyo mkuu ungewapa heshima zao Kwanza wanathimba...
Halafu kwenye komenti ndo tuwaponde...
Anyway rest in peace thimba[emoji82]

Utabiri...

Wydad Casablanca [emoji16] 5 weKundu 1 [emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usicheke Leo NI siku ya msiba
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Ila ukichunguza Kwa Makini inachekesha
[emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom