Orlando_
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 662
- 1,209
Wale ni kuwaachia wapambane na uzi wao,uzi umekaa kinafiki sana ule...Ongea na moderator ule uzi wauunge na huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale ni kuwaachia wapambane na uzi wao,uzi umekaa kinafiki sana ule...Ongea na moderator ule uzi wauunge na huu
Tegemeeni msiba kama aliousema AhmedKama mpira ni mdundo( tennis) Leo utadunda, kama laa tumeishaaa😭
Samahani sana.Jioni moja ya mwaka 2003, jijini Cairo nchini Misri kulikuwa na mechi nzito, uwanja ukiwa umetapika kulikuwa na shujaa mmoja aliyekuwa golini akiibeba timu yake ya Simba Sc kwa kupangua mikwaju ya penati na kuivua taji mabingwa watetezi Zamalek. Shujaa huyo si mwingine ni Juma Kaseja. Dunia ikabaki imeduwaa.
Leo 28.04.2023 miaka 20 baadae, Simba ipo tena uarabuni kucheza na bingwa mtetezi ambaye ni Wydad, katika mazingira yaleyale.
Simba atashuka akiwa na mtaji wa goli 1-0 katika mchezo wa kwanza, uliopigwa Tanzania. Je historia kujirudia? Simba ataweza kuivua Wydad ubingwa akiwa kwao kama ilivyokuwa miaka 20 iliyopita pale Zamalek. Sababu wanayo, uwezo wanao nia pia wanayo.
Ni mechi ya kufa au kupona, ewe Mwana Simba uliyepo Ndola, Tanga, Entebbe, Nakuru na maeneo mengine tembea kifua mbele, usiwe mnyonge kwa Simba hii mwarabu atakufa kwao. Je Shujaa atakuwa nani? Baleke, Chama, Inonga au Kiungo punda Mzamiru?
Mechi itakuwa mubashara kuanzia Saa 4:00 Usiku kwa Masaa ya Afrika Mashariki na mchezo utakuwa live kupitia ZBC 2 ya AzamTv, Chaneli 225 ya DStv, Canal Plus na Bein Sports.
Leo tunawaonyesha ukubwa wa Myama Kesho usijeileta mpwampwalito tuNiende wapi we mkia[emoji23][emoji23] tulia mkandwe na wakandaji wa kiarabu
Ndio hizo hizoKama mlizopata 1998 au may 2012?
Mkuu ukifika Peponi utanikuta pale mapokezi, endelea kutenda dhambi zingine ila nitakuruhusu upite tu bila shidaMimi ni shabiki wa Simba, ila Leo Simba tunapigwa tuacheni ushabiki mbuzi ndugu zangu
Matusi ruksa ila mi nimesema Ukweli tu
Asante ndugu yangu mi kwenye ukweli huwa napenda tu kusema ukweli tusijipe moyo wa Kipuuzi.Mkuu ukifika Peponi utanikuta pale mapokezi, endelea kutenda dhambi zingine ila nitakuruhusu upite tu bila shida
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3581][emoji3581][emoji3581]Waarabu wote kuanzia saa moja usiku tuanze kuchati kiarabu katika uzi huu tukumbushie enzi zile tupo nyumbani kwetu kabla hatujaja kutafuta maisha Tz.
Cc : mwarabu feki Greatest Of All Time Scars Carrasco Tate Mkuu Shadeeya
Jioni moja ya mwaka 2003, jijini Cairo nchini Misri kulikuwa na mechi nzito, uwanja ukiwa umetapika kulikuwa na shujaa mmoja aliyekuwa golini akiibeba timu yake ya Simba Sc kwa kupangua mikwaju ya penati na kuivua taji mabingwa watetezi Zamalek. Shujaa huyo si mwingine ni Juma Kaseja. Dunia ikabaki imeduwaa.
Leo 28.04.2023 miaka 20 baadae, Simba ipo tena uarabuni kucheza na bingwa mtetezi ambaye ni Wydad, katika mazingira yaleyale.
Simba atashuka akiwa na mtaji wa goli 1-0 katika mchezo wa kwanza, uliopigwa Tanzania. Je historia kujirudia? Simba ataweza kuivua Wydad ubingwa akiwa kwao kama ilivyokuwa miaka 20 iliyopita pale Zamalek. Sababu wanayo, uwezo wanao nia pia wanayo.
Ni mechi ya kufa au kupona, ewe Mwana Simba uliyepo Ndola, Tanga, Entebbe, Nakuru na maeneo mengine tembea kifua mbele, usiwe mnyonge kwa Simba hii mwarabu atakufa kwao. Je Shujaa atakuwa nani? Baleke, Chama, Inonga au Kiungo punda Mzamiru?
Mechi itakuwa mubashara kuanzia Saa 4:00 Usiku kwa Masaa ya Afrika Mashariki na mchezo utakuwa live kupitia ZBC 2 ya AzamTv, Chaneli 225 ya DStv, Canal Plus na Bein Sports.
Ila mmetupania sana, kumbukeni Allah ni WA wote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3581][emoji3581][emoji3581]